House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI MPYAAA
INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
BEI LAKI MOJA NA NUSU KWA MIEZI ILIPWE MIEZI SITA
150,000X6
IPO KIMARA UMBALI WA KILOMTA 2.5 USAFILI UPO MDA WOTE BAJAJI MIA SABA 1000 BODA BUKU 15000 MUDA WOTE
SIFA ZA NYUMBA
INA TILES, JIPSAM, DILISHA KIOO
INAJITEGENEA UMEME
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI NZURI SANA
NYUMBA NI CHUMBA MASTA SEBULE NA JIKO
NYUMBA HAIPO KWENYE FENSI ILA MAZINGIRA MAZURI NA FENCE INAJEGWA MAFUNDI WAPO KAZINI
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030