House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT 185K
---------------
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
USAFIRI WA BAJAJI, DALADALA UPO KWA NAULI TSH 5OO UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 1.
-----
SIFA ZAKE =
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
SEHEMU YA KUPIKIA
TAILS ,GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME ( SUBMITER YAKO )
MAZINGIRA MAZURI GARI INAFIKA PARKING IPO KWA MWENYE NYUMBA
------
KODI NI LAKI 185,000 /=
KWA MWEZI.
MAZUNGUMZO YAPO KUHUSU KODI.
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-----
What saapp 0689-547258