House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NYUMBA HII IKO NDANI YA FENSI BEI NI 300,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO LINA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU MITA YAKO
#MAJI DAWASA MITA YAKO NA YNAFLOO NDANI
💰BEI NI 300,000/= X 12
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA KOR0GWE
.. KUTOKA BARABARA YA MWENDOKASI HADI KWENYE NYUMBA KWA MIGUU DK 4
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
###0655256419