House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(170,000X3) KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #170k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani ( public)
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Bei:170,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali KM 2.5 ukishuka unapiga mlango teke
Bajaji 1000
Boda boda 15,00
===
Ndani ya fence parking IPO
===
0716223412
0683597453
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15