House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(150000 × 4,5,6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
MPYA MPYA MPYA MPYA
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
BEI YA KODI LAKI MOJA NA NUSU KWA MWEZI MA𝗥A NNE TANO AU SITA
HII APARTMENT IPO KIMALA TEMBONI UMBALI WA KILOMITA MBILI NA NUSU
USAFI𝗥I UPO MWINGI
BAJAJI 1000 UKISHUKA UNAINGI𝗔 NDANI
BODA 1500 MUDA WOTE
𝗖𝗵𝘂𝗺𝗯𝗮 𝗺𝗮𝘀𝘁𝗲𝗿
𝗦𝗲𝗯𝘂𝗹𝗲
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO MUDA WOTE
YAANI NI MPYA
KA𝗥IBUNI SANA WOTE
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300