House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 3 KUTEMBEA
SIFA YA NYUMBA HII NI
________________________
Chumba master na sebule na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme na maji BEI 200,000 X 6
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ZIPO 3 KIRA MOJA INAJITEGEA UMEME NA MAJI WAHI BEI POA
Vyumba VIKUBWA sana
Kuperekwa kuona nyumba Shilling 15,000 Itadum mpaka upate nyumba
Ukipenda na kulipa Dalali utampa hela ya mwez mmoja
##0655256419