House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAA APARTMENT NZURI SANA YA KISASA KABISA
*INAPANGISHWA
*KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 200K X 6
*ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
*#MASTER BEDROOM KUBWA
*# SEBURE KUBWA
*#UMEME METER YAKE
*#MAJI DAWASA METER YAKE NA YANAFLOW NDANI
*#TILES
*#GIPSUM
*# SLIDE WINDOW
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA. TSH1000/=*
*"KUMBUKA" "NYUMBA HII IPO KWENYE FENCE, LAKINI SIO FENCE YA KULAZA GARI, NA USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA
*NOTE:: INAYOPANGISHWA NI YA CHINI,, GROUND FLOOR
*SERVICE CHARGE 15K
*MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA🇹🇿
SIMU 0659336751 WSP 0786085637