House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







:
APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NDUGU MTEJA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA CHENYE KABATI LAKE NDANI
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HAKUNA FENSI ILA USALAMA NI WA KUTOSHA
BEI NI 250,000/= X 3
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168