House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(130,000X6)KIMARA TEMBONI DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 130,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA KIKUBWA
# SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA KWAKE CHA NJE
#HAKUNA JIKO
#LUKU WANASHEA FAMILIA 2 TUU
BEI NI 130,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 7 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453