House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 4) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= × 4
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA CHENYE KABATI LAKE NDANI
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 250,000/= × 4,5.....
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300