House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT ๐ฅ BEI NI 175,000X6
๐ APARTMENT
HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
# JIKO FULL MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#KILA APARTMENT LINA DISHI LAKE DSTV
#GARDEN
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 175, 000/=x6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 TUU..USAFIRI BAJAJI 700 NA BODABODA 1,000 HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
WAHIII๐๐๐
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747