House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYAA KABISA INAPANGISHWA KIMARA SUKA #170K
Chumba cha kulala sebule jiko (open kitchen)
Kodi 170,000 Kwa mwezi × 4
Ndani ya fence parking IPO
Umbali km 1.8 Usafiri bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI