House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 18/10/2024
๐๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#HAKUNA JIKO
#HAKUNA SEBULE
#AIR - CONDITION
#HII NI MASTER BEDROOM KIKUBWA SANA
#PARKING KUBWA
#GARDEN NZURI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
๐WANATAKIWA MABACHELEA WA KIUME NA WAKIKE AU MTU NA MWENZA WAKE TUU
BEI NI 250,000/= X 6
UKILIPIA KODI HII UTALIPIA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ฅ ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 18/10/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
Simu
0679997610
0747997630
0658884015
Msigwa