House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🏡 APARTMENT'S NZURI SANA
ZA KISASA BADO MPYAA..
ZINAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE📌📌
💥 KODI YAKE  250,000\/=x X6
ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA
 🏘️ SIFA ZA NYUMBA -
⚡MASTER BEDROOM KUBWA
⚡ SEBURE  KUBWA
⚡  JIKO SAFI  LENYE MAKABATI
⚡ TILES
⚡ GYPSUM 
⚡ SLAIDING WINDOW
⚡ UMEME METER YAKE
⚡ MAJI SAFI DAWASA, METER  YAKE NA  YANAFLOO NDANI
🏡 NYUMBA HIZI MPYA ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI  TSH500\/=
BODA  TSH1000\/=
 ❌NOTE:: NYUMBA HII  FENCE INAENDELEA KUJENGWA, NA PIA  USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA❌
SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
======
CALL
0716223412
0683597453
🏘️🇹🇿 KARIBUNI SANA📌



















