House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU MITA YAKO
#MAJI DAWASA MITA YAKO NA YNAFLOO NDANI
NB;NYUMBA IKO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
π°BEI NI 170,000/= X 6
π£NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710π wahiii



















