House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 200,000 x 3 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA INAYOJITEGEMEA YENYEWE
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA KISASA
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343