House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA  KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU.
CHUMBA 
SEBLE 
JIKO
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW 
LUKU YAKO 
NDANI YA FENSI 
PARKING SPACE KUBWA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 250,000X6 
INAKUWA WAZI TAR 30.8.2025
KUONA NA KULIPIYA LUKSA
O677370515



















