House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
KODI NI 200000×6 KIMARA MWISHO APARTMENT NZUR YA KISASA IPO NDANI YA FENSI
INAPANGISHWA ZIPO (3) KWENYE COMPOUND MOJA
UMBALI WA KILOMETA (2,5) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKAS
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJI 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK3
NI CHUMBA SEBLE JIKO NA PABLIC TOILET INA TILES GPSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA FLOW CHOONI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15000/=
NA BILA KUSAHAU PESA YA UDALALI MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637