House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYAA APARTMENT FOR RENT BEI NI 175,000X6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
# JIKO FULL MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#KILA APARTMENT LINA DISHI LAKE DSTV
#GARDEN
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 175, 000/= X 6 NI NZURI SANA KIKUKWA BALAHA
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
USAFIRI BAJAJI 700 NA BODABODA 1,000 HADI KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA 15000
ITAKUWAWAZI /6/4/20/25 ILAKUONA NDANIINAWEZEKANA NAKULIPIA INAWEZEKANA WAHIII🏃🏃🏃