House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA (STUDIO APARTMENT) INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
🌟 APPOINTMENT HII YA KIBACHELA INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#AIR-CONDITION
#HEATER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
❌ HAKUNA SEBULE HAPA
❌HAKUNA JIKO HAPA
BEI NI 250,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
💥NJIA YA GARI NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
===
CALL
0683234124