House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 150,000 x 3 ) KIMARA MWISHO APARTMENT INAPANGISHWA ZIPO (3 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA ( 2.5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJI 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 4
CHUMBA MASTER SEBULE
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA ( PEVING BLOCK)
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
what saapp number 0689-547258