House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Price: 200,000 × 6 0714 418 005
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA
🇹🇿 KUHUSU MAONGEZI YA MALIPO YAPO YANAONGELEKA NDUGU MTEJA
💥 APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#CHOO CHA PUBLIC CHA KWAKE NDANI KWA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
‼️HAKUNA JIKO
#PAVING
#CAR PARKING KUBWA 🚗
Location: KIMARA TEMBONI
UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp