House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 150,000x3 KIMARA SUKA 2.5 km BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖
✔️CHUMBA MASTER KIKUBWÀ
✔️JIKO
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA, NDANI YA FENCE
MASTER BEDROOM  KUBWA SANA JIKO KUBWA SANA 
USALAMA 💯%
INAPANGISHWA
KIMARA SUKA 
TILES, GIPSUM
ALMINIUM
MAJI METER YAKO
 UMEME SUB METER YAKO
💥KODI YAKE 150,000X3
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA KM 2,5 USAFIRI BAJAJI1000 BODABODA\\\/1000 
⬇️
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0765-494343
0683-387747




















