House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA YA NYUMBA NI
Chumba master bedroom na sebule kubwa sana na jiko zuri inajitegea umeme na maji
HAIPO KWENYE FENCE
BEI YA PANGO NI 200,000 X 6
MAZINGIRA MAZURI SANA KODI IMEPO
USAFIRI BAJAJI ZIPO SH 700K
BODABODA SH 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CALL
☆☆☆☆
##0655256419