House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(170,000X5)KIMARA BARUTI...
WAHI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
KWAA SASA NJOO NA 170X5 TU
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
===================
LOCATION: KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
==================
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITANO (5)
====================
SIFA ZAKE
➖➖➖➖➖➖
CHUMBA MASTER
SEBULE
KIBARAZA KAMA JIKO
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENS
HAKUNA PARKING
=================
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU MWENYE NYUMBA HAKAI APO
==================
UMBALI KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA BARUTI USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU BODA ELFU MOJA TU MPKA NYUMBAN
==================
KUPELEKWA SITE ELF 15
===================
CONTACT
0716223412
0683597453
===========
.
KIUMBE REAL ESTATE AGENTS
.
Epuka matapeli fanya kazi na madalali wenye ofc na waliosajiliwa