House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🔰 Apartments Mpya Zinapangishwa KIMARA BARUTI
📍 Kodi 400,000/= *6
_______
__
#Mafundi wanaendelea Kumalizia Finishing Ndogondogo, inakuwa tayari kuhamia tarehe 31/11/2024 (Finishing yakw itakuwa ya kisasa)
• Jiko la Kisasa Linafungwa Makabati
• Sebule kubwa
• Chumba Master
* Full air condition (A/c)
* Heater ya maji Moto
* Electric fence
* Washing mashine
* Free WiFi
* Geti la remote
* Paving blocks
* Parking space kubwa sana
#Upande wa Barabara ya Lami ya Chuo
#Umbali wa kutembea dakika 14 au bodaboda 1,000/=
----------
#Malipo ya Dalali Nasoni Ni Tsh 400,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
№:- 0753172516
------------