House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 160,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEBULEย ย
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU MITA WAWILI
#MAJI DAWASA MITA YAKO NA YNAFLOO NDANI
NB;NYUMBA IKO NDANI YA FENSI
๐ฐBEI NI 160,000/= X 4
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.USAFIRI BAJAJI 1000 BODABODA 1000..UKISHUKA UPO NDANI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710