House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment nzuri Kali ya Kibachelor (400,000 ร 6) #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= ร 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 21/07/2025 KUONA NDANI RUKSA
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#AIR-CONDITIONING (A/C)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#ULINZI NA USAFI WA MAZINGIRA NI BURE KABISA NDUGU MTEJA
BEI NI 400,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KWA MSUGURI NI DK 5 TUU KWA MIGUU
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300