House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
300,000 ร 6
KIMARA TEMBONI DK 12
KWA MIGUU
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 300,000 ร 6
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET NZURI ๐ป
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR CONDITION
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 300,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA