House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
BADO MPYAA ๐ฅ๐ฅ
NDANI YA FENCE
MASTER BEDROOM & KITCHEN.
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ *KODI YAKE 200K X 6*
*ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM KUBWA ''SINGLE''
##JIKO SAFI NA MAKABATI
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME LUKU YAKE
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
๐๏ธAPARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
SERVICE CHARGE 15K
*NOTE:: MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA*
Simu
0679 997610
0747997630
Msigwa
๐ก๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA.