House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







๐ APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 3
INAKUWA WAZI 1.5.2025
๐ฐKODI 250,000X6
๐ฃLOCATION KIMARA TEMBONI KM 1 USAFIRI BAJAJI 500
UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 VYA KULALA
UKUBWA WA WASTANI
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO
YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING
BLOCK
INAKUWA WAZI TAREHE 1.5.2025 AU KABLA YA HAPO
PIGA SIMU #0625606710