House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
💥ULINZI NA MTU WA USAFI NA GARDEN NI BURE UPO MASAA 24
BEI NI 300,000/= X 6
💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Contact 0712474756