House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
INAFAULISHWA MPANGAJI KAPATA DHARULA INAKUWA WAZI TR/ 5/1/2025
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 150,000X6
MAHALI ILIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 7 KWA MGUU
NI CHUMBA NA SEBULE JIKO KUBWA CHOO CHA NJE CHAKO MWENYEWE
MADIRISHA SLYD WINDOWS,
FENI
NDANI FENSI USALAMA WAKUTOSHA
UMEME MITA YAKO MWENYEWE
WAHI CHAPU ๐โโ๏ธ๐ฅ๐บ๐ NYUMBA ZA KARIBU HAZIKAI
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 ๐
What saapp number