House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
LOCATION:KIMARA KOROGWE
Kodi 400,000/= × 6
DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
BODA 1000
BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA ZINAKUWA TAYARI TAREHE 10/5/2025
■■■■■■■■■■■■■■♤■■■■■■■■■■■■■■■■
----------
Chumba kikubwa
Sebule kubwa
Jiko la kisasa lina wekwa makabati
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Maji yana flow
Electric fence
Tiles
Gypsum
Paving block
Parking space
----------
■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■
-----------
Service charge 20,000 /=
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
------------
Contact:
0654101710
0787205300