House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#CHUMBA NA SEBULE VIZURI
#CHOO NA BAFU MNATUMIA 2 TU VISAFI SANA MAZINGIRA MAZURI SANA NO USWAZI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI NA BAFUNI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 12-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 140,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU
0712656027