House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
IPO NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ KODI YAKE 300K X6//
ILIPWE LAKI TATU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
๐๏ธ NYUMBA HII KUBWA INA SIFA ZIFUATAZO
โก VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM KUBWA.
โก SEBURE KUBWA
โก DINNING
โก JIKO KUBWA SAFI
โก PUBLIC TOILET
โก STORE
โก TILES/ GIPSUM
โก DIRISHA KIOO/ SHARTA
โก PARKING SAFI
โก INAJITEGEMEA METER YA UMEME NA MAJI SAFI NA YANAFLO NDANI
๐๏ธ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.
USAFIRI >>>
BAJAJI TSH 700/=
PIKI PIKI TSH1,000/=
*NOTE:: NYUMBA HII ITAKUWA WAZI RASMI TAREHE 01/ 04/ 2025, MTEJA ANARUHUSIWA KUJA KUONA NYUMBA KUANZIA SASA, NA KUFANYA MALIPO๐*
๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI
PIGA SIMU #0625606710