House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam


3st November 2024---------------------APARTMENT FOR RENT LOCATION MADALE
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
LUKU INAJITEGEMEA
NDANI YA FENCE
KODI LK 250,000 KWA MWEZI
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA
HAIKO MBALI NA MAIN ROAD
KWA MUHITAJI PIGA SIMU
0758 572 334
0716 407755