House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro


Apartment kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 500,000 kwa mwez
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ipo maeneo ya kijintonyama
@
Ni master sebule jiko
@
Umeme maji mita yako
@
Parkingi ipo
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687