House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro


APARTMENTS NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIRCONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBANI
#PAVING BLOCK 
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA 
ZIPO APARTMENT 3 TUU NA HII MOJA YA CHINI NDIO INAPANGISHWA 
BEI NI 350,000/= × 6
 APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK  15 TUU KWA MIGUU 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20  NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA O677370515




















