House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NATUMA SALAM KWA WATEJA NA MADALALI... kwamba
*NYUMBA HIII (APARTMENTS) 6 zinauzwa Milioni 33 maongezi yapo kias
šZipo MBEZI MWISHO MAKABE MSAKUZI* Dar es salaam - Tanzania
āApartment mbili (2) ni Sebule na Chumba master kodi ni laki 200,000
āApartment 4 ni chumba chumba kila Mpangaji analipa kodi Elf 50 kwa kila chumba
āMakusanyo ya kodi kwa mwezi kwa wapangaji wote ni laki (400,000) Kwa mwaka mzima ni milioni (48,)
āApartments zote 6 zimejaa wapangaji
āPlot size Sqmt 200
āDocument Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)
*Bei shilingi milioni 33 maongezi yapo*
0788156493
0614130017
0760053111