House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 270,000/= X 3
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 270,000/= X 3,4...
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO #KIMARA_STOP_OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
GARAMA YA KUONESHWA NYUMBA HII NI SHILINGI ELFU 15 TUU BILA KUSAHAU PESA YA UDALALI SHILINGI LAKI 2 NA ELFU 70 PESA YA KODI YA MWEZI
📌📌NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
PIGA SIMU
0719969102