House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







0677445508
#
.
#IMESHUKA BEI MPKA 230K
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO #KIMARA_STOP_OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
HII BRBR YA ZEGE UMBALI WA KILOMETA 1.2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BODA ELFU MOJA TU MPKA GETIN
#KODI NI 230,000 KWA MWEZI
SIFA ZAKE
#######
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA
#PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
ZIPO APARTMENT 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA NA KILA MMOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
SERVICE CHARGE NI ELFU 15