House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/09/2024 AU MAPEMA ZIADI YA HAPO

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#PUBLIC TOILET
#KUNA SEHEMU AMBAYO UNAWEZA KUFANYA CHUMBA CHA KULALA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME (ULINZI NI WA UHAKIKA NDUGU MTEJA)
#PARKING

BEI NI 350,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

💥 APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/09/2024 AU MAPEMA ZIADI YA HAPO NA KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

SIMU

+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49

MSHATI

#Dalali   kimara
dalali_kimara_mbezi_
#Dalali kimara

Similar items by location

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI ------Vyumba 3 vya kulala kimoja master b...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK3 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ------Vyumba 2 vya kula...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

$ 800 per month

FURNISHED APARTMENT FOR RENT LOCATION AT MBEZI BEACH PRICE USD 800$ PER MONTH 1 bedrooms Living room...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

(500,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA ——APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI ___...

Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 55,000 per sqm

——VIWANJA VINAUZWA MBEZI MAGUFURI NJIA YA MPIJI KITUO KIBAONISQM 1 NI TSHS. 55,000/=KUPELEKWA SITE E...

House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA INA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO IPO NDANI YA FE...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI ___Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSe...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI ___Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSe...

2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi kwa msuguli km2 Kodi 250000 kwa mwezi na da...

3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 2,700,000

Villa Mpya InapangishwaMahali : Mbezi Beach(Almas Street), Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿Ina : 🟢 Vyum...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI ___Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSe...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI ___Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSe...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSebul...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

CHUMBA SEBULE 130KKODI:LAKI 1 NA ELFU THELATHINI TUUNI MASTER KUBWASEBULE KUBWA NYUMBA KWA NDANI NI ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSebul...

House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

0677445508#APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA #KIMARA_TEMBONI #KODI 250,000X6 #CHUMBA MASTER #SEBULE ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI ___Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSe...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 1 TOKA LAMI Vyumba 2 vya kulala, kimoja masterSebul...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

BEI NI 350,000/= X 3,4...APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 3,4...NAKUENDELEA...