House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISAAA ZINAPANGISHWA HIII SIYOO YAKUACHA KABISAA NYUMBA NI MPYA NA UPYA WAKE
LOCATION:MBEZI MWISHOO NJIA YA MPIJI ( MACHIMBOO)
KODI YAKE:180,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA
👉CHUMBA
👉SEBURE KUBWA
👉JIKO SAFII
👉CHOO NDANI
👉FENCE
👉UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
👉PAVING BLOCK
👉PARKING KUBWA
BAJAJI 1000
DALADALA 600
CONTACT
0782428327