House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAFAULISHWA 200,000/= X 3
PGA CMU 0683795752
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#CHOO KIZURI CHA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 200,000 X 3
ποΈ APARTMENT HII IPO KIBANDA CHA MKAAUPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 6 UPO KWENYE NYUMBA
π KUONESHWA NYUMBA HII UTALIPIA PESA SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA YA UDALALI
CALL 0659244543