House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


02_
APARTMENT NZURI YA KISASA NAIFAULISHA MTEJA ATAHAMA TAREHE 30/08/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA
BEI NI 200,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#KIBALAZA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#PAVING
BEI NI 200,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MTEJA ANAHAMA TAREHE 30/08/2024