House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI BARABARA YA ZEGE
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Bei: 180,000 Kwa mwezi ร 6
Umbali KM 1.5 barabara ya zege Bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena IPO WAZI WAHIII๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37