House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA UHAKIKA NA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
BEI NI 150,000/=X 6
UKIIPENDA NYUMBA HII NDUGU MTEJA UTALIPIA PESA YA UDALALI SHILINGI LAKI 1 MOJA NA NUSU BILA KUSAHAU SERVICE CHARGE SHILINGI ELFU 15
π«π«APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
CONTACT:: 0672 673363