House/Apartment for Rent at Nzuguni, Dodoma


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA β
οΈ
____________________
πMAHALI- NZUGUNI
____________________
MUUNDO
βMASTER +SEBULE+OPEN KITCHEN
βPazuri sana
βPAKUBWAA SANAA
_________________________
HUDUMA
βIpo ndani ya fence
βumeme na maji vipo
βKaribu na Barabara
βpazur sana kama unavoona
____________________________
π°BEIβ 150,000@month
-MUDA WA MALIPO MIEZ 04+
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja atalipa mteja
Gharama za kwenda site 10k
Tuwasiliane 0657122976 calls/tsp
ββββββββββββ-----------