House/Apartment for Rent at Pugu, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO LENYE KABATI. MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI (DAWASA) TENKI LIPO.
KODI: 200000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 3.
LOCATION: PUGU SEKONDARI.
CONTACT: 0760053111
0614130017